KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP.

UTANGULIZI KWA UFUPI: Baada ya kusoma kitabu hiki utaweza kufanya mambo yafuatayo:
• Kukusanya na kuhifadhi (save) namba zote za washirika wote wa vikundi vyote vya whatsapp unavyojiunga. Utafanya hivi kwa haraka—ndani ya muda mfupi.
• Kuongeza watazamaji wengi wa status zako ndani ya muda mfupi.
• Ku-foward tangazo au ujumbe wako, kwenda kwa watu wengi ndani ya muda mfupi—kwa kutumia lebo (label) maalum.
• Kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.
_______________
FOMATI YA KITABU: PDF.
IDADI YA KURASA: 58
UPATIKANAJI: Kwa WhatsApp/e-mail.
BEI YA SASA: TSH 3,500/-.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO/MASWALI YAKO: Kikundi cha WhatsApp cha SIMPLE ONLINE INCOME SKILLS.

Karibu sana.
EMMANUEL KIMANISHA.

MATANGAZO

• Ungependa tufanikishe lipi kwa ajili yako?  [ANGALIA HAPA].
• Chukua kalenda [2021] yako nzuri yenye picha zako, ui-print huko uliko [ANGALIA HAPA].


Comments

Popular Posts