KUTENGENEZA GRAPHICS KWA SMARTPHONE NA KUZIUZA KUPITIA WHATSAPP.

UTANGULIZI KWA UFUPI: Hapa utapata maelekezo rahisi, kwa msaada wa picha za screenshot za hatua zote; namna ya kutengeneza graphics kwa kutumia smartphone. Graphics kama posters/flyers, kalenda, business card, makava rahisi ya vitabu na nyinginezo ili kuwahudumia wahitaji wa graphics hizo, wanaopatikana kwa urahisi kupitia WhatsApp. 
Wateja wako watakuwa wakituma maelekezo yao kwa WhatsApp, na baada ya wewe kukamilisha ubunifu huo, wanakulipa kwa mobile money; kama M-pesa, Halopesa, Airtel Money, Tigo Pesa, T-pesa n.k. wewe unawatumia kazi zao katika fomati za picha original/PDF—kwa whatsapp/e-mail.
_______________
FOMATI YA KITABU: PDF.
IDADI YA KURASA: 31
UPATIKANAJI: Kwa WhatsApp/e-mail.
BEI YA SASA: TSH 2,500/-.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO/MASWALI YAKO: Kikundi cha WhatsApp cha SIMPLE ONLINE INCOME SKILLS.

Karibu sana.
EMMANUEL KIMANISHA.

MATANGAZO

• Ungependa tufanikishe lipi kwa ajili yako?  [ANGALIA HAPA].
• Chukua kalenda [2021] yako nzuri yenye picha zako, ui-print huko uliko [ANGALIA HAPA].

Comments

Popular Posts