MAARIFA RAHISI KWA MANUFAA YA KIUCHUMI—MTANDAONI.

KARIBU KWENYE MAARIFA HAYA.

Ninatumia audio zilizorekodiwa (mp3), maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi husika cha WhatsApp na kukupatia kitabu husika [katika fomati ya PDF—kwa WhatsApp/e-mail). Maarifa utakayopata ni:
  1. Ubunifu (utengenezaji) wa graphics nzuri kwa  smartphone ili kuwahudumia wahitaji (wateja) wake wanaopatikana WhatsApp
  2. Namna nyingine ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
  3. Kuingiza kipato kwa smartphone na Whatsapp.
_____________________
(C) UFAFANUZI WA KILA PROGRAMU YA MAARIFA (KWA UFUPI):

1. Ubunifu Wenye Soko Mtandaoni (WhatsApp) Kwa Smartphone.
—••—Hapa utajifunza namna ya kutengeneza graphics nzuri kwa kutumia smartphone. Graphics kama posters, flyers, business card (softcopy), logo rahisi, makava rahisi ya vitabu na graphics nyingine.

—••—Kwa ubunifu huo, utaweza kuwahudumia wahitaji (wateja) wa graphics wanaopatikana kwa wingi kupitia WhatsApp. 

BEI YA MAFUNZO:
TSH 3,500; kitabu (PDF), audio zote & mwongozo wa kuipata App inayokufaa.
TSH 5,000; vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Simplified Graphic Designing]
—ILI KUPATA MAARIFA HAYA, KWA MPANGILIO MOJAWAPO WA BEI TAJWA HAPO JUU; TOA TAARIFA INBOX KWANGU KWA KUFUNGUA HAPA [INBOX DOOR].
_______________
_______________
2. Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp.
—••—Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga.

—••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako.

—••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum.

—••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.

BEI YA MAFUNZO:
TSH 4,500; kitabu (PDF) pekee.
TSH 9,000; kitabu (PDF) & audio zote.
TSH 12,000; vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp].
—ILI KUPATA MAARIFA HAYA, KWA MPANGILIO MOJAWAPO WA BEI TAJWA HAPO JUU; TOA TAARIFA INBOX KWANGU KWA KUFUNGUA HAPA [INBOX DOOR].
_______________
_______________
3. Kuingiza Kipato Kwa Smartphone Na Whatsapp.
—••—Hapa utajifunza namna nyingine ya kutumia sehemu ya muda na kifurushi chako cha intaneti, kufanya mambo rahisi ambayo yana wateja wengi wanaopakana WhatsApp—kwenye smartphone yako.

—••—Utajifunza kuhusu; Apps zinazoweza kukusaidia kufanikisha kazi mbalimbali kwenye smartphone yako; ili kuingiza sehemu nzuri ya kipato chako kwa rasilimali rahisi: smartphone, WhatsApp, sehemu ya muda na kifurushi cha intaneti & Apps za kazi maalumu.

BEI YA MAFUNZO:
TSH 3,000; kitabu (PDF), audio na kuwepo kwenye kikundi cha whatsapp (Simple Online Income Skills).
—ILI KUPATA MAARIFA HAYA; TOA TAARIFA INBOX KWANGU KWA KUFUNGUA HAPA [INBOX DOOR].
Karibu sana rafiki (0743 517 138).


MATANGAZO: Gusa picha husika kuangalia zaidi.
































Comments

Popular Posts