UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI.
UTANGULIZI KWA UFUPI: Baada ya kusoma kitabu hiki utaweza kuuza maandishi ya maarifa yako au chochote unachotaka kuuuza katika fomati ya maandishi. Utajifunza jinsi ya kuanza kufanya hivyo kwa gharama ndogo sana, kiasi kwamba ni kama hakuna gharama. Ikiwa wewe ndiyo kwanza unaanza kuandika na haujajua wapi utaanzia kupata uzoefu wa awali, katika kuuza maandishi mtandaoni; hapa ni mahali sahihi. Ni kitabu kizuri na kina kurasa chache (38 tu) zenye mambo muhimu sana.
_______________
FOMATI YA KITABU: PDF.
IDADI YA KURASA: 38
UPATIKANAJI: Kwa WhatsApp/e-mail.
BEI YA SASA: TSH 2,500/-.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO/MASWALI YAKO: Kikundi cha WhatsApp cha SIMPLE ONLINE INCOME SKILLS.
Karibu sana.
EMMANUEL KIMANISHA.
MATANGAZO
• Ungependa tufanikishe lipi kwa ajili yako? [ANGALIA HAPA].
• Chukua kalenda [2021] yako nzuri yenye picha zako, ui-print huko uliko [ANGALIA HAPA].
Comments
Post a Comment