MAARIFA RAHISI YENYE FAIDA KUBWA—MTANDAONI.
Maarifa rahisi yenye manufaa makubwa kiuchumi/kibiashara—mtandaoni.
Changamoto nyingi kwenye biashara au uchumi kwa ujumla; hutatuliwa kwa maarifa sahihi katika kuzikabili changamoto hizo.NINA SWALI KWAKO: UNGEPENDA KUJIFUNZA LIPI MIONGONI MWA HAYO YALIYOPO HAPO JUU, KWENYE PICHA? AMBAYO PIA YAPO KWENYE ORODHA HII HAPA CHINI:
VITABU UTAKAVYOPATA HAPA NI:
1. Namna ya kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kupitia WhatsApp [Jinsi nilivyoanza na ninavyouza graphics rahisi mtandaoni].
2. Kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
3. Namna ya kufungua blogu yako ndogo rahisi mwenyewe—kwa smartphone.
4. Unavyoweza kuuza maandishi yako mtandaoni.
5. Maarifa na uzoefu wako ni kipato chako mtandaoni.
6. Andika kwa mkono na uuzie mtandaoni.
7. Advanced Stationery Skills [Online Typing]: Kuandika kwa ajili ya wengine— mtandaoni.
_____
Maarifa yapo, kwa mpangilio na utaratibu mzuri; usiovuruga matumizi yako mazuri ya muda.
Utajifunza bila usumbufu. Utatumia dakika zako chache kila siku, au kila baada ya siku kadhaa (chache).
______
Vitabu vyote vipo katika fomati ya PDF na vina kurasa chache. Unavipata kwa WhatsApp/e-mail.
______
Vitabu vyote vipo katika fomati ya PDF na vina kurasa chache. Unavipata kwa WhatsApp/e-mail.
Baada ya kununua kitabu chochote, utaunganishwa kwenye kikundi chetu cha WhatsApp cha SIMPLE ONLINE INCOME SKILLS; kwa ajili ya kuwasilisha na kujibiwa changamoto au maswali yako yote, unapotumia maarifa haya.
Njoo unufaike kiuchumi/kibiashara mtandaoni pasipo kutumia nguvu nyingi sana. Lakini pia hata kama tayari umeanza kunufaika kiuchumi au kibiashara kupitia WhatsApp au intaneti kwa ujumla, unaweza kuongeza kitu cha thamani pia kwa maarifa haya.
Njoo unufaike kiuchumi/kibiashara mtandaoni pasipo kutumia nguvu nyingi sana. Lakini pia hata kama tayari umeanza kunufaika kiuchumi au kibiashara kupitia WhatsApp au intaneti kwa ujumla, unaweza kuongeza kitu cha thamani pia kwa maarifa haya.
_______________
Ili kuangalia utangulizi na maelezo mengine muhimu, kuhusu kitabu husika; yaani utapata nini kwenye kitabu kipi, gusa namba hizo hapo chini [zenye rangi ya njano] sawa na namba ya kitabu kwenye orodha iliyopo huko juu.
NAMBA 1 [№1][OPEN]
NAMBA 2 [№2][OPEN]
NAMBA 3 [№3][OPEN]
NAMBA 4 [№4][OPEN]
_________
Karibu sana.
EMMANUEL KIMANISHA.
MATANGAZO MENGINEYO: Gusa picha husika, kuangalia zaidi_
• Ungependa tufanikishe lipi kwa ajili yako? [ANGALIA HAPA].
• Chukua kalenda [2021] yako nzuri yenye picha zako, ui-print huko uliko [ANGALIA HAPA].
• Unataka kufanikisha lipi siku ya leo—ukiwa popote? [ANGALIA HAPA].
Comments
Post a Comment