NAMNA YA KUFUNGUA BLOGU NDOGO MWENYEWE—KWA SMARTPHONE.

UTANGULIZI KWA UFUPI: Hapa utaweza kutumia smartphone yako, kufungua blogu yako ndogo rahisi ya bure; kwa kutumia majukwaa mawili ya mtandaoni: blogspot na WordPress.
Utafahamu hatua moja hadi nyingine. Jambo linalowezekana kufanyika ndani ya dakika chache sana.
_______________
FOMATI YA KITABU: PDF.
IDADI YA KURASA: 28
UPATIKANAJI: Kwa WhatsApp/e-mail.
BEI YA SASA: TSH 2,000/-.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO/MASWALI YAKO: Kikundi cha WhatsApp cha SIMPLE ONLINE INCOME SKILLS.

Karibu sana.
EMMANUEL KIMANISHA.

MATANGAZO

• Ungependa tufanikishe lipi kwa ajili yako?  [ANGALIA HAPA].
• Chukua kalenda [2021] yako nzuri yenye picha zako, ui-print huko uliko [ANGALIA HAPA].


Comments

Popular Posts