[ONLINE TYPING]: KUANDIKA KWA AJILI YA WENGINE— MTANDAONI.

Advanced Stationery Skills
UTANGULIZI KWA UFUPI: Katika kitabu hiki chenye kurasa chache (55). Utajifunza namna ya kulipwa kwa kuandika kazi mbalimbali za maandishi, kwa ajili ya wengine—mtandaoni (Online Typing). Watu wengi wanahitaji kupata kazi zao fulani katika maandishi, lakini hawana muda wa kutosha kufanya hivyo. 
Kuna watu wengi wanahitaji ku-type risala, mashairi/nyimbo, hotuba, kazi za masomo (assignments) na nyingine nyingi. Pia wengine wanatamani kuzibadili audio fulani (kama mahubiri, semina na mihadhara), kuwa kwenye maandishi au vitabu. 

Ukisoma kitabu hiki, utaweza kutumia smartphone yako kufanikisha kazi hizi kwa urahisi—kuliko unavyodhani. 
Wateja wako watakulipa kwa Mobile money au mifumo mingine ya kupokea malipo kwenye intaneti (ikiwa wapo nchi nyingine za nje). Wewe utawapatia kazi zao katika fomati za kielektroniki (softcopy); kwa WhatsApp/e-mail.
_______________
FOMATI YA KITABU: PDF.
IDADI YA KURASA: 55
UPATIKANAJI: Kwa WhatsApp/e-mail.
BEI YA SASA: TSH 3,000/-.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO/MASWALI YAKO: Kikundi cha WhatsApp cha SIMPLE ONLINE INCOME SKILLS.

Karibu sana.
EMMANUEL KIMANISHA.

MATANGAZO

• Ungependa tufanikishe lipi kwa ajili yako?  [ANGALIA HAPA].
• Chukua kalenda [2021] yako nzuri yenye picha zako, ui-print huko uliko [ANGALIA HAPA].






Comments

Popular Posts