ANDIKA KWA MKONO NA UUZIE MTANDAONI.

UTANGULIZI KWA UFUPI: Pengine umejiuliza 'nawezaje kuuzia mtandaoni, maandishi niliyoyaandika kwa mkono?'. Jibu ni kwamba: jambo hilo linawezekana. Katika kitabu hiki utafahamu namna ya kuandika maandishi yako kwenye karatasi ambazo zitafanyiwa scanning kwa kutumia smartphone, na kuzitumia picha kama kurasa (pages) za PDF kwa mpangilio mzuri. Hapa utaweza kutengeneza dokumenti fupi fupi zenye mwonekano mzuri. Jambo lina matokeo mazuri sana kwa watu wenye mwandiko mzuri, kwenye maandishi yao ya mkono. 

Je, unafahamu kuwa watu wengi hivi sasa, bado wanapenda sana kusoma maandishi yaliyoandikwa kwa mwandiko wa mkono? Ndiyo, ukiwa na mwandiko mzuri, na unao uwezo mzuri kwenye somo au taaluma fulani unaweza kuweka mambo hayo kwenye maandishi na kisha kuuza kwa namna hiyo.
Utajifunza vilevile namna ya kuwataarifu watu wengi waliopo WhatsApp, kuhusu uwepo wa dokumenti zako.
_______________
FOMATI YA KITABU: PDF.
IDADI YA KURASA: 35
UPATIKANAJI: Kwa WhatsApp/e-mail.
BEI YA SASA: TSH 4,000/-.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO/MASWALI YAKO: Kikundi cha WhatsApp cha SIMPLE ONLINE INCOME SKILLS.

Karibu sana.
EMMANUEL KIMANISHA.

MATANGAZO

• Ungependa tufanikishe lipi kwa ajili yako?  [ANGALIA HAPA].
• Chukua kalenda [2021] yako nzuri yenye picha zako, ui-print huko uliko [ANGALIA HAPA].






Comments

Popular Posts