MAARIFA NA UZOEFU WAKO NI KIPATO CHAKO MTANDAONI.
UTANGULIZI KWA UFUPI: Katika kitabu hiki, utajifunza namna ya kutengeneza mfumo rahisi sana wa kuuza maarifa ya uzoefu au taaluma yako. Kwa kuwa hivi sasa kuna watu wengi wanaopatikana WhatsApp, kitabu hiki kinakupa mwongozo wa namna nzurí ya kufungua na kuunganisha vizuri matumizi ya chaneli rahisi ya youtube, blogu rahisi ya bure na vikundi vya WhatsApp; vyenye wanafunzi wanaolipia kozi au mafunzo unayotoa.
_______________
FOMATI YA KITABU: PDF.
IDADI YA KURASA: 114
UPATIKANAJI: Kwa WhatsApp/e-mail.
BEI YA SASA: TSH 3,500/-.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO/MASWALI YAKO: Kikundi cha WhatsApp cha SIMPLE ONLINE INCOME SKILLS.
Karibu sana.
EMMANUEL KIMANISHA.
MATANGAZO
• Chukua kalenda [2021] yako nzuri yenye picha zako, ui-print huko uliko [ANGALIA HAPA].
Comments
Post a Comment