MAARIFA RAHISI KWA MANUFAA YA KIUCHUMI—MTANDAONI.
KARIBU KWENYE MAARIFA HAYA. Ninatumia audio zilizorekodiwa (mp3), maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi husika cha WhatsApp na kukupatia kitabu husika [katika fomati ya PDF—kwa WhatsApp/e-mail). Maarifa utakayopata ni: 1. Ubunifu (utengenezaji) wa graphics nzuri kwa smartphone ili kuwahudumia wahitaji (wateja) wake wanaopatikana WhatsApp 2. Namna nyingine ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp. 3. Kuingiza kipato kwa smartphone na Whatsapp. _____________________ (C) UFAFANUZI WA KILA PROGRAMU YA MAARIFA (KWA UFUPI): 1. Ubunifu Wenye Soko Mtandaoni (WhatsApp) Kwa Smartphone. —••—Hapa utajifunza namna ya kutengeneza graphics nzuri kwa kutumia smartphone. Graphics kama posters, flyers, business card (softcopy), logo rahisi, makava rahisi ya vitabu na graphics nyingine. —••—Kwa ubunifu huo, utaweza kuwahudumia wahitaji (wateja) wa graphics wanaopatikana kwa wingi kupitia WhatsApp. BEI YA MAFUNZO: TSH 3,500; kitabu (PDF), audio z...